Kitabu cha Bure

Jinsi Ya Kuuza Ujuzi Wako Na Kupata Wateja Mtandaoni

Pakua 1M Club Manual kujifunza hatua za kubadilisha ujuzi kuwa offer, kupata wateja kupitia WhatsApp na TikTok, na kuanza kuuza kwa mfumo.

Ndani ya kitabu hiki

Utajifunza jinsi ya kubadilisha ujuzi wowote kuwa offer, kupata wateja wapya kila siku kupitia WhatsApp, na kutumia TikTok kukuza biashara yako bure.